All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Mpanzu Na
Meneja Mkuu Wa Simba
Simba
TV Channels
Simba
VSRs Berkane Live
Mipango Ya
Simba
Simba
Kupokea Tuzo
Senzo Mazingiza Mbatha Yanga Tanzania
Maandalizi Ya Kesho Zid Ya Simba Najkt
Simba
Arrive Tanzania
Uzinduzi Wa
Jezi Za Simba
Kikosi Cha Yanga 2025
Wachezaji Waliotambulishwa
Simba
Simba
South Africa
Taalifa Ya Okela
Simba
Simba
New Logo
List Ya Wachezaji Wapya
Simba 2025
Mchungaji Semba Unabii
Basi Ya
Simba 2025
Jezi Mpya Za Simba 2025
Simba
Bhora vs Nsingizini
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
Mpanzu Na
Meneja Mkuu Wa Simba
Simba
TV Channels
Simba
VSRs Berkane Live
Mipango Ya
Simba
Simba
Kupokea Tuzo
Senzo Mazingiza Mbatha Yanga Tanzania
Maandalizi Ya Kesho Zid Ya Simba Najkt
Simba
Arrive Tanzania
Uzinduzi Wa
Jezi Za Simba
Kikosi Cha Yanga 2025
Wachezaji Waliotambulishwa
Simba
Simba
South Africa
Taalifa Ya Okela
Simba
Simba
New Logo
List Ya Wachezaji Wapya
Simba 2025
Mchungaji Semba Unabii
Basi Ya
Simba 2025
Jezi Mpya Za Simba 2025
Simba
Bhora vs Nsingizini
3:22
Wajomba eeh!! mmezisikia sifa na uwezo wa Meneja Mkuu wa Simba Dimitar Pantev? Mchambuzi Heavyweight anatushushia madini yake hapa. Video Nzima Tayari Ipo YouTube Kwenye Channel Yetu Tuzo Online Bonyeza Link Kwenye Bio Yetu Kutazama #wajombalife #wajombatotheworld #tuzoonlinetunakupaunachostahili | Tuzo Tuzo
54.6K views
7 months ago
Facebook
Tuzo Tuzo
0:09
Klabu ya Simba imetangaza kuachana na Meneja Mkuu Dimitar Pantev pamoja na wasaidizi wake wawili, baada ya pande zote mbili kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba. Kupitia taarifa yao kwa umma, Simba imesema kuwa kikosi kitakuwa chini ya kocha Selemani Matola kwa muda, huku mchakato wa kumpata kocha mpya ukiendelea. Taarifa hiyo imetolewa na Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC leo, 2 Desemba 2025. Tufatilie kupitia YouTube ya FURAHA TV, upate habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika kila siku. Us
5.5K views
5 months ago
Facebook
FurahaFmtz
1:24
Meneja Mkuu Dimitar Pentev baada ya kuwasili nchini. #NguvuMoja | Simba SC Tanzania
133.3K views
7 months ago
Facebook
Simba SC Tanzania
4:07
KUTOKA ESWATINI: Tazama kikosi cha Simba chini ya Meneja Mkuu, Dimitar Pantev kikifanya mazoezi yake ya kwanza nchini Eswatini kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya wenyeji wao Nsingizini Hotspurs. Mechi hii itapigwa Oktoba 19, 2025 saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #SimbaSC #SimbaEswatini | AzamSports
164.9K views
7 months ago
Facebook
AzamSports
2:40
Huu ndio ujumbe wa God yanga kwa Meneja Mkuu wa Simba Dimitar Pantev!! | Mavala Plus
4K views
7 months ago
Facebook
Mavala Plus
5:07
KAULI YA MENEJA MKUU SIMBA: “Simba ni timu kubwa yenye matarajio ya juu kwenye kila shindano” Meneja Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pentev amesema malengo yake ni kuiweka timu hiyo kuwa juu na anafahamu kuwa msimu uliopita klabu hiyo haijachukua ubingwa. Meneja huyo amesema anafahamu klabu hiyo ina wachezaji wenye uwezu mkubwa na miongoni mwa mambo atakayoyafanya ni kuwajengea kujiamini. Pentev anasema Simba inaweza kucheza vizuri zaidi kuliko kile walichoonesha katika mchezo dhidi ya Gaborone United
31.3K views
7 months ago
Facebook
AzamSports
1:33
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Taarifa ya Meneja Mkuu wa Simba SC, DIMITAR PANTEV Akikanusha Taarifa ya Kufukuzwa Kwake Kazi. 🎥: #WasafiFM 🫡 #MeaMswahiliUPDATES | Mea Mswahili
949 views
5 months ago
Facebook
Mea Mswahili
3:56
KURASA ZA MWISHO: Mchambuzi wa soka Philip Nkini akieleza mbinu za Meneja Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pantev anazotumia katika soka, huku naye Judith Peter akieleza mtazamo wake juu ya majukumu ya Pantev akiwa na Simba. Imeandikwa na @davidkyamani Mhariri | @abuuyusuftz #KurasaZaMwisho | AzamSports
16K views
7 months ago
Facebook
AzamSports
2:11
#Kipenga @wakanda_republic anasema kuwa hivi sasa Meneja Mkuu wa Simba, Dimitar Pantev inabidi aandae kwanza kikosi ambacho kitaweza kumsaidia kupambania ubingwa. #Kipenga #EastAfricaRadio | East Africa Radio
28.3K views
7 months ago
Facebook
East Africa Radio
3:10
Simba mpya ya meneja mkuu Dimitar Pantev full mkoko kuifuata Nsingizini ya Eswatini🔥🔥🔥 Video Nzima Tayari Ipo YouTube Kwenye Channel Yetu Tuzo Online Bonyeza Link Kwenye Bio Yetu Kutazama #wajombalife #wajombatotheworld #tuzoonlinetunakupaunachostahili | Tuzo Tuzo
90.5K views
7 months ago
Facebook
Tuzo Tuzo
0:35
Meneja Mkuu Dimitar Pantev kuelekea mchezo wa kesho. #NguvuMoja | Simba SC Tanzania
36.1K views
7 months ago
Facebook
Simba SC Tanzania
5:27
KUTOKA MALI: Meneja Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pantev amefunguka sababu za kupanga kikosi chake bila mshambuliaji asilia, aizungumzia mechi ya kesho ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Stade Malien. Pantev amezunmzia kile kinachosemwa na mashabiki wa soka kuhusu ‘pira tatoo’ na maana ya kile ambacho amechora mwili. Mchezaji Steven Mukwala, Rushine De Reuck na Wilson Nangu nao wazungumza. Mtangazaji @baraka_mpenja anasimulia zaidi kutoka Mali. Simba itashuka dimbani kesho kucheza dhidi ya Stade Ma
125.5K views
5 months ago
Facebook
AzamSports
1:52
Meneja Mkuu Dimitar Pantev akizungumzia ushindi wa leo. #NguvuMoja | Simba SC Tanzania
36.7K views
7 months ago
Facebook
Simba SC Tanzania
0:54
Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori na Meneja Mkuu, Dimitar Pantev wakisalimiana baada ya mazoezi ya leo asubuhi yaliyofanyika Mo Simba Arena. #NguvuMoja | Simba SC Tanzania
54.8K views
7 months ago
Facebook
Simba SC Tanzania
4:36
#CAFCL Meneja Mkuu wa Simba, Dimitar Pantev anasema ameumizwa na matokeo ya leo huku akiomba radhi mashabiki pamoja na kuweka wazi kilichomnyima goli lolote Kwa upande Nsingizini, kocha anawapongeza wachezaji kwa ushindani waliouonesha dhidi ya Simba licha ya uchanga wao kwenye michuano ya CAF. FT: Simba SC 0-0 Nsingizini Hotspurs (Agg: 3-0). #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #NsingiziniHotspurs #SimbaSC #SSC #SimbaNsingizini | AzamSports
20.8K views
6 months ago
Facebook
AzamSports
1:08
Meneja Mkuu, Dimitar Pantev akizungumzia mchezo dhidi ya JKT Tanzania ulivyokuwa. Mahojiano kamili ingia YouTube - Simba SC Tanzania. #NguvuMoja | Simba SC Tanzania
38.2K views
6 months ago
Facebook
Simba SC Tanzania
3:27
Upi utofauti wa Meneja Mkuu na Kocha Mkuu ndani ya Timu? Ni swali wanalojiuliza wengi mara baada ya Simba kumpa Cheo cha Umeneja mkuu kocha wao mpya, Pantev. @georgeambangile ametupa utofauti wa kati ya nafasi hizo mbili @sportsarena88.9 #KivumbiSokaLaNyumbani | Wasafi FM
26.2K views
7 months ago
Facebook
Wasafi FM
2:06
Simba inaitwanga Al Hilal katika mchezo wa kirafiki ikiwa na Meneja mkuu Dimitri Pantev sambamba na Suleiman Matola . Bila shaka mchezo huu wa kirafiki Pantev amefaidika sana . #simbasc #NguvuMoja #WenyeNchi #mpekeo_mtandala | Michael Mwayombo Mpekeo
107.2K views
7 months ago
Facebook
Michael Mwayombo Mpekeo
0:33
Mashine @ahmedally_ ipo Hapa Uwanja wa ndege wa kimataifa kuipokea mashine mpya ya Simba SC. Meneja mkuu @dimitarpantev #mjukuuwashentembo | Mcjadu Tanzania
60.8K views
7 months ago
Facebook
Mcjadu Tanzania
3:04
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis anasema ameshangazwa na kitendo cha klabu ya Simba kuachana na aliyekuwa Meneja Mkuu, Dimitar Pantev. Rashid anasema kama Simba hawakuona mapema changamoto za Pantev basi hawakupaswa kumfuta kazi wakati huu. (Imeandikwa na @allymufti_tz) #Viwanjani #Simba | AzamSports
12.7K views
5 months ago
Facebook
AzamSports
2:49
KUHUSU MENEJA MKUU SIMBA: “Mtu ambaye tumemleta ana uwezo wa kutuvusha na kutupeleka mbali” Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kitu wanachokihitaji kutoka kwa Meneja wao Mkuu, Dimitar Pantev, ni kuirejesha heshima na mataji ambayo yamepotea mitaa ya Msimbazi. Ahmed Ally amesema wana imani na Pantev na ana uwezo wa kurejesha mataji. Ahmed pia ameendelea kutoa msisitizo wa mashabiki kununua jezi halali za Simba. (Imeandikwa na @allymufti_tz) #Simba #Mshikemshike | AzamSpo
5.4K views
7 months ago
Facebook
AzamSports
0:40
Meneja wa Simba,Patrick Rweyemamu akimtambulisha Seleman Matola kwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo, Roberto Oliviera. #mwanaspoti #mwanaspotiupdates #tunawezeshataifa | MwanaSpoti
327.8K views
Jan 4, 2023
Facebook
MwanaSpoti
0:44
Meneja habari na mawasiliano wa klabu yanga Ally Kamwe amesema ameomba kazi ya kuwa kocha Mkuu wa Simba Sc ili kurithi Mikoba ya aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Fadlu Davids ambaye muda mfupi uliopita ametemblishwa rasmi na klabu ya Raja Casablanca ya Morocco #mpwagedigital #Mpwagejulius #JMTV | Mpwage Julius
23.5K views
8 months ago
Facebook
Mpwage Julius
1:59
Simba SC Tanzania wanajua wafanyacho juu ya kumleta Meneja mkuu ndani ya timu yao na kumpandisha Matola kuwa kocha mkuu .... #simbasc #NguvuMoja #WenyeNchi #mpekeo_mtandala | Michael Mwayombo JR
87.9K views
7 months ago
Facebook
Michael Mwayombo JR
0:45
Meneja wa timu na Mkuu wa Sayansi ya Michezo, Mikael Igendia akizungumzia kuwasili kambini kwa Fabrice Ngoma na Clatous Chama. #NguvuMoja | Simba SC Tanzania
109.8K views
Jul 20, 2023
Facebook
Simba SC Tanzania
3:01
SIMBA, YANGA ZATAJWA MKUTANO MKUU CCM: Tazama cheko la Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete baada ya Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla kuitaja Yanga kwenye Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM unaoendelea jijini Dodoma. Rais wa Yanga, Hersi Said, Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally na Mdhamini na Mfadhili wa Yanga, Ghalib Said Mohamed watajwa mkutanoni. (Imeandikwa na @allymufti_tz) #MkutanoMkuuCCM #CCM | AzamSports
20.5K views
Jan 18, 2025
Facebook
AzamSports
1:07
SIMBA WESE: Tazama Afisa Mtendaji Mkuu, Zubeda Sakuru na Meneja Habari na Mawasiliano wa timu hiyo, Ahmed Ally ‘walipojichanganya’ na mashabiki wao kucheza nyimbo za hamasa. Simba SC na Lake Energies wazindua mpango maalumu wa ushirikiano ambao wameupa jina la #SimbaWese. Kupitia mpango huo klabu ya Simba itaweza kupata mapato pale ambapo shabiki wa klabu hiyo atakaponunua mafuta kwenye vituo vya Lake Energies. (Imeandikwa na @allymufti_tz z) #SimbaWese #SimbaSC | AzamSports
13K views
Mar 25, 2025
Facebook
AzamSports
2:52
📹 Ripoti kutoka kwa Meneja wa kitengo cha Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally kuhusu mchezo wa leo wa kirafiki ambapo pia amefanya mahojiano na Kocha Mkuu, Zoran Maki. #NguvuMoja | Simba SC Tanzania
134.9K views
Jul 27, 2022
Facebook
Simba SC Tanzania
3:06
AHMED KUHUSU KUUJAZA UWANJA: Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amezitaja sababu za mashabiki wa timu hiyo kwenda kuujaza uwanja akisema itakuwa mara ya kwanza msimu huu kuiona timu yao katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Ahmed pia amesema hii mechi ni kama #SimbaDay kwa Meneja Mkuu Dimitar Pantev. (Imeandikwa na @allymufti_tz) #Viwanjani | AzamSports
20.6K views
7 months ago
Facebook
AzamSports
1:27
Meneja wa kuleta mafanikio makubwa Msimbazi. #NguvuMoja | Simba SC Tanzania
123.5K views
7 months ago
Facebook
Simba SC Tanzania
See more
More like this
Feedback