Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Profesa Said Mohamed Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) na Mitihani ya Ualimu iliyofanyika ...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo Jumatatu, Februari 16, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es ...
KATIKA kipindi cha hivi karibuni, sekta ya sukari nchini imekuwa ikikumbwa na changamoto nyingi, hususan suala la bei za sukari kupanda kiholela. Baadhi ya viwanda vya sukari viliongeza bei ya sukari ...
Serikali chini ya uongozi wa Dk. Samia Suluhu Hassan, inaendelea kutekeleza mikakati kuhakikisha vijana wanapata fursa sawa za kujiletea maendeleo binafsi na kuchangia katika ustawi wa Taifa kwa ...
TAKRIBANI simu 120 zimekamatwa shuleni, huku zilizo nyingi zikiwa na maudhui yanayohusu ngono na uhusiano kimapenzi. Kaimu Ofisa Elimu Mkoa wa Tabora, Nestory Mashiku, ameyasema hayo mkoani humo, na ...
Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga, ameishauri Serikali kuhakikisha inaimarisha mfumo wa bima ya taifa pamoja na kukamilisha sera ya bima ya afya, akisema hatua hiyo ni muhimu kwa ustawi wa uchumi wa ...
Shabiki maarufu wa soka na mwanachama wa klabu ya Yanga kutoka Mkoa wa Geita, Hussein Makubi ameahidi kutoa zawadi ya Sh. 500,000 kwa kila goli litakalofungwa na timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka ...
MAMLAKA ya Kenya imewakamata wanafunzi wanane wanaoshukiwa kuchoma moto bweni la shule ya wasichana siku siku chache zilizopita, na kuwaua wanafunzi wenzao 16 na kuwajeruhi wengine 79. Waziri wa Elimu ...
BEI za jumla za mchele, mahindi na maharage zimeongezeka katika kipindi cha kuanzia Februari 2024 hadi Februari 2025, ripoti iliyotolewa na Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na Benki Kuu ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results