Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Profesa Said Mohamed Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) na Mitihani ya Ualimu iliyofanyika ...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo Jumatatu, Februari 16, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es ...
KATIKA kipindi cha hivi karibuni, sekta ya sukari nchini imekuwa ikikumbwa na changamoto nyingi, hususan suala la bei za sukari kupanda kiholela. Baadhi ya viwanda vya sukari viliongeza bei ya sukari ...
MBUNGE wa Ikungi Elibariki Kingu, ameishauri serikali kuondoa matumizi yote ambayo hayana umuhimu ikiwemo posho na vikao visivyokuwa na ulazima kunzia mwezi Aprili hadi Julai mwaka huu, ili fedha ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, ametangaza kupunguza idadi ya magari kwenye misafara yake mbalimbali ya kikazi ikiwa ni moja ya mkakati wa kupunguza matumizi makubwa ya mafuta serikalini. Samia, amesema ...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nandy, akizungumza na waandishi wa habari alipotembelea Banda la Made in Tanzania kwenye maonesho ya 49 ya DITF. Msanii maarufu wa kizazi kipya, Faustine Mfinanga ...
MELI vita tatu za Jeshi la Ukombozi la watu wa China zimepokelewa nchini jana kwa ajili ya kuungana na vikosi vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), katika mazoezi ya kubadilishana uzoefu ili ...
Walimu 150 wa amali kwenye shule za serikali wanaondoka Jumapili kwenda nchini India kwa mafunzo maalum ya amali ambayo yatawawezesha kuongeza ujuzi kwenye taaluma hiyo. Walimu hao kutoka mikoa ...
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita imewataka wanawake wajawazito kufika mapema katika vituo vya afya mara wanapogundua kuwa ni wajawazito ili kupata ushauri wa kitaalamu kuhusu namna ya kulea ...
Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga, ameishauri Serikali kuhakikisha inaimarisha mfumo wa bima ya taifa pamoja na kukamilisha sera ya bima ya afya, akisema hatua hiyo ni muhimu kwa ustawi wa uchumi wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results