Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga, ameishauri Serikali kuhakikisha inaimarisha mfumo wa bima ya taifa pamoja na kukamilisha sera ya bima ya afya, akisema hatua hiyo ni muhimu kwa ustawi wa uchumi wa ...
MAENDELEO ya sayansi na teknolojia yanachangia kukuza uchumi na kuibua mambo mengi ya kisasa yakiwamo yanayopotosha, kama kuchochea ngono mitandaoni. Leo maisha yamebadilika huduma kuanzia tiba, elimu ...
SERIKALI Mkoani Songwe imewahakikishia wananchi kuwa hadi sasa Tanzania haina kisa chochote cha ugonjwa wa Ebola, huku ikiendelea kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji kufuatia nchi jirani za Jamhuri ya ...
Shabiki maarufu wa soka na mwanachama wa klabu ya Yanga kutoka Mkoa wa Geita, Hussein Makubi ameahidi kutoa zawadi ya Sh. 500,000 kwa kila goli litakalofungwa na timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka ...
Today, I raise my pen and a piece of paper again to continue echoing my voice around the world on an issue which continues to take and capture many people’s mind. This is nothing other than the Taiwan ...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Profesa Said Mohamed Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) na Mitihani ya Ualimu iliyofanyika ...
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amewataka wadau wa kahawa Kanda ya Kaskazini kuongeza juhudi za kuimarisha soko la ndani la zao hilo, akisema hatua hiyo itakuwa chachu ya kuongezeka kwa ...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo Jumatatu, Februari 16, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es ...