Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga, ameishauri Serikali kuhakikisha inaimarisha mfumo wa bima ya taifa pamoja na kukamilisha sera ya bima ya afya, akisema hatua hiyo ni muhimu kwa ustawi wa uchumi wa ...
MAENDELEO ya sayansi na teknolojia yanachangia kukuza uchumi na kuibua mambo mengi ya kisasa yakiwamo yanayopotosha, kama kuchochea ngono mitandaoni. Leo maisha yamebadilika huduma kuanzia tiba, elimu ...
SERIKALI Mkoani Songwe imewahakikishia wananchi kuwa hadi sasa Tanzania haina kisa chochote cha ugonjwa wa Ebola, huku ikiendelea kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji kufuatia nchi jirani za Jamhuri ya ...
Shabiki maarufu wa soka na mwanachama wa klabu ya Yanga kutoka Mkoa wa Geita, Hussein Makubi ameahidi kutoa zawadi ya Sh. 500,000 kwa kila goli litakalofungwa na timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka ...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Profesa Said Mohamed Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) na Mitihani ya Ualimu iliyofanyika ...
MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama, Dk. Eliona Kimaro, ameonya wanajamii na waamini wa imani ya kikristo, kuepuka kusafiri pamoja na siku ...