Maelezo ya picha, Muuguzi akimhudumia mama aliyezaa mapacha. Katika Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, kwa muda mrefu familia zenye watoto waliozaliwa kabla ya wakati, yaani watoto njiti, zililazimika ...
Katika kutekeleza malengo makuu ya milenia, Ghana imefanikiwa kupunguza vifo vya watoto wadogo chini ya miaka mitano kwa theluthi mbili, likiwa ni taifa la kwanza barani Afrika kufanya hivyo.
Umoja wa mataifa umeripoti kwamba idadi ya watoto walioaga dunia kabla ya umri wa miaka mitano ilipungua na kufikia kiwango cha chini kabisa katika mwaka 2022. Hiyo ni mara ya kwanza ambapo idadi ya ...